Mallessa's Luxury Bus Yutong D14 MOD for BUSSID

🚍 Mallessa's Luxury Bus Yutong D14 MOD for BUSSID! 🇹🇿

Habari mdau wa simulator! Leo tunakuletea bonge moja la chuma kwa ajili ya game yako ya Bus Simulator Indonesia (BUSSID). Kama wewe ni mpenzi wa mabasi ya mikoani hapa Bongo, basi bila shaka unaijua Mallessa’s Luxury Bus. Sasa, chuma chao kipya cha Yutong D14 kimeingia rasmi kwenye BUSSID!

Hii MOD imetengenezwa na high-level accuracy ili kukupa ladha halisi ya barabara za kuelekea Kanda ya Ziwa (Geita, Kahama, na Mwanza) ukiwa ndani ya simulation.

Sifa Kuu za Mallessa's Luxury Yutong D14 MOD:

 * Realistic Skin: Livery ya rangi ya kijani na njano ya Mallessa’s ikiwa na logo na maandishi safi kabisa (High Quality).

 * New Yutong D14 Design: Huu ni mfululizo mpya wa Yutong wenye modern look na muundo wa kisasa.

 * Luxury Interior: Dashboard ya kijanja, viti vya kifahari, na interior lights zinazovutia usiku.

 * Full Animation: Milango inafunguka, buti za mizigo, na engine cover zote zipo functional.

 * Smooth Handling: Basi lina balance nzuri sana barabarani hata ukiwa kwenye top speed.


DON'T MISS THESE MODS:

👉 [Download Abood Bus Yutong D14 MOD]

👉 [Download Tilisho Safari Luxury MOD ]


Kwa Nini Udownload MOD Hii?

Mallessa's Luxury ni moja kati ya kampuni zinazokua kwa kasi nchini Tanzania kwa kutoa huduma bora. Kupitia MOD hii ya Yutong D14, utahisi kama kweli unapiga spana kuelekea Kanda ya Ziwa huku ukifurahia vionjo vya kipekee vya "Chuma ya Geita" ndani ya game.

📥 Jinsi ya Kupata MOD Hii (Download Link)

Tumekuwekea direct link ya kupata file hili bila usumbufu. Bonyeza link hapa chini kuanza safari yako na Mallessa's Luxury:

👉 DOWNLOAD MALLESSA'S LUXURY YUTONG D14 HAPA

How to Install (Jinsi ya Kuweka):

 * Download file hapo juu (kama liko kwenye .7z au .zip, tumia ZArchiver ku-extract).

 * Copy file lenye extension ya .bussidmod.

 * Paste file hilo kwenye folder la BUSSID > Mods.

 * Fungua game yako, nenda kwenye Garage, na utalikuta basi lako jipya tayari kwa safari!

Credit: Shukrani za pekee ziende kwa Daudi Gaming kwa kuendelea kuleta MODS kali kama hizi kwenye tasnia ya gaming Tanzania.

#BUSSID #MallessaLuxury #YutongD14 #TanzaniaBussid #DaudiGaming #BusSimulator #BussidMod #GamingTanzania #Mallessa Luxury Bus MOD #BUSSID Tanzania MOD 2025 #Yutong D14 BUSSID Download #Daudi Gaming Tanzania #Tanzania Traffic MOD #Mabasi ya Tanzania BUSSID #Download Mallessa Yutong

Post a Comment

Previous Post Next Post