Real Traffic Tanzania AI Pack
BUSSID v4.3.4Boresha uzoefu wako wa kuendesha basi kwa kuleta uhalisia wa barabara za Tanzania! Mod hii inabadilisha mfumo wa AI Traffic na kuweka mabasi maarufu ya nyumbani yanayojiendesha yenyewe barabarani.
Vipengele Vikuu 🔥
- Mabasi ya AI Tanzania: Utapishana na Scania, Marcopolo, na Volvo zenye rangi halisi za makampuni ya Tanzania.
- Mazingira Halisi: Muonekano wa barabara na trafiki inayokupa hisia kama upo Bongo.
- v4.3.4 Compatible: Imeboreshwa kufanya kazi vizuri kwenye toleo jipya bila kusababisha lag.
Bei ya OBB: TZS 7,500
LIPia OBB HAPA (sh.7,500)Baada ya kulipia, pakua APK hapa:
DOWNLOAD APK v4.3.4Neno la Siri (Password):
RJHR2025
Gusa kucopy 🔥
Jinsi Ya Kuseti Angalia hapa 👇👇